Shukrani kwa Kelvin! Vitabu vifuatavyo vinapatikana sasa kwa kuazima kwenye Matkaba ya Elimu Yetu, Kijenge Tindigani.
-
A New Certificate Chemistry
Physical Geography in Diagram for Africa
Test Yourself in Mathematics
Test Papers in Secondary Basic Mathematics Form 1 & 2
Geography Coursebook for Secondary
English for Secondary Schools Form 2
Download your Certificate of Recognition below!
Pakua Cheti cha Kutambua Mchango chako chini.