Shukrani kwa Neema! Vitabu vifuatavyo vinapatikana sasa kwa kuazima kwenye Matkaba ya Elimu Yetu, Kijenge Tindigani.
-
Jifunze Kiingereza Kupitia Picha
Learn Numbers and Count it 1 - 100
Tunajifunza Kusoma na Kuandika
Kijue Kiingereza Bila Mwalimu
Methali, Vitendawili, Nahau na Misemo na Maana zake
Lets Learn Together : Fun with ABC
Mshamba Fani Hivi
Download your Certificate of Recognition below!
Pakua Cheti cha Kutambua Mchango chako chini.