Tunawakaribisha sana leo Saba Saba tusherehekee pamoja kwa mara ya kwanza SIKU YA KISWAHILI DUNIANI. Wazee, walimu na vijana tufundishane kuhusu historia na mustakabali wa lugha ya Kiswahili. Elimu Yetu kutakuwa mashindano, mafunzo, burudani na zaidi. Changia vitabu vya Kiswahili kwa maktaba yetu!
     -> Pakua vitabu vya Kiswahili Mtandaoni
     -> Vitabu kuhusu Tanzania
     -> Vitabu kuhusu Afrika
Leo Saba Saba tunasherehekea miaka 68 tangu Mwalimu Nyerere alipoanzisha chama cha TANU kupigania uhuru. Tanzania ilikuwaje mwaka 1954? Jisomee ->

We welcome everyone to celebrate the first ever WORLD SWAHILI DAY with us! Elders, mentors and youth at Elimu Yetu teach each other, and discuss the history and future of the Swahili language. Workshops, contests, entertainment and more. Please donate your Swahili books to our library!
     -> Teach yourself Swahili
     -> Download Swahili books online
     -> Find a Swahili Mentor
     -> Books about Tanzania
     -> Books about Africa
Today we celebrate 68 years since Julius Nyerere founded the Tanganyika African National Union to advocate for independence. What was Tanzania like in 1954? Read for yourself ->