Shukrani kwa Tara! Vitabu vifuatavyo vinapatikana sasa kwa kuazima kwenye Matkaba ya Elimu Yetu, Kijenge Tindigani.
- Moduli ya Somo la Kiswahili
- Moduli ya Somo la Maarifa ya Jamii
- Moduli ya Somo la Sayansi
- English Module
- Moduli ya Somo la Hisabati
- Ualimu Tanzania
- Saikolojia na Unasihi
Download your Certificate of Recognition below!
Pakua Cheti cha Kutambua Mchango chako chini.