Thank you Tara! The following books are now available for checkout at the Elimu Yetu Library in Arusha, Tanzania. 
Shukrani kwa Tara! Vitabu vifuatavyo vinapatikana sasa kwa kuazima kwenye Matkaba ya Elimu Yetu, Kijenge Tindigani. 

  • Moduli ya Somo la Kiswahili
  • Moduli ya Somo la Maarifa ya Jamii
  • Moduli ya Somo la Sayansi
  • English Module
  • Moduli ya Somo la Hisabati
  • Ualimu Tanzania
  • Saikolojia na Unasihi

Download your Certificate of Recognition below! 
Pakua Cheti cha Kutambua Mchango chako chini.