na Alfred N.
Hapo zamani za kale katika Kijiji cha NYAMAGOMA ,kulitokea binti moja anayeitwa SUDI Aneti ambaye katika maisha yao ya kila siku alikuwa akitamaani maisha ya raha tu. Alikuwa na Tabia ya kuwachuna wanaume kwa kuwaomba pesa nyingi.Alipoona hayo hayatoshi aliamua kujiunga na ushirikina na kuenda kwa waganga wa kienyeji kwa lengo la kuzitafuta pesa nyingi kwa muda mfupi. Ni ukweli pesa aliipata tena ya kutosha Ila ikawa ni ya masharti .wazazi wake walijaribu kumshauri aachane na ushirikina huo bali aanzishe miradi yake huku akianzia kwa vinavyolingana na uwezo wake hakuwasikiliza.Alieendelea kuyaishi maisha hayo,huku matatizo yakawa yanamkuta kila wakati,ilifika kiasi mizimu ikamuomba uhai wa mama yake kama kafara naye akakataa kata kwa ubadaye Mali zote zilipoptea akafikia hatua ya kujuta akiukumbuka ushauli alioupewa na wazazi wake.angelikubali kulidhika na mali zinazokuja taratibu yasingelimkuta hayo yote kwa ukweli CHURURU SI NDONDONDO
Chururu /mchiriziko/myiririko
Kitenzi: kuchurura nyiririka
Ndondondo:malipo yanayokuja kila baada ya mwezi au mwaka kutokana na makubaliano ya watu wawili( mfanyakazi na bosi wake)
Malejeleo : kamusi kuu
Chururu /mchiriziko/myiririko
Kitenzi: kuchurura nyiririka
Ndondondo:malipo yanayokuja kila baada ya mwezi au mwaka kutokana na makubaliano ya watu wawili( mfanyakazi na bosi wake)
Malejeleo : kamusi kuu