You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Misingi ya Jamii Huru
Faster downloadPublished Year: 2013
Language: sw
Summary: Misukosuko ya kisiasa na kiuchumi mara nyingi imepelekea uhuru kushambuliwa. Wakati wa Anguko Kuu la kiuchumi, nchi zote kubwa kiuchumi zilidhibiti biashara kwa kuongeza kodi za forodha. Mwitikio huu wa ghafla uliishia tu kukuza wasiwasi wa kisiasa ya maeneo na kuongeza zaidi hali ngumu ya kiuchumi. Kuibuka kwa tawala za kisoshalisti kulipelekea kugandamizwa kabisa kwa uhuru kwa kiraia, kisiasa na kiuchumi kwa karibu nusu ya dunia.