You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"

Haki za Mwanamke kwa Mujibu wa Qur'an na Sunnah za Mtume (S.A.W.): Toleo Jepesi

Women Rights according to the Qur'an

Faster download
Pakua
4.8 MB

Published Year: 2020

Book Thumbnail

Language: sw

Details: Tazama habari juu yaUzinduzi wa kitabu hiki. wasiliana nasi. Tutashukuru sana.

Summary: Jumuiya ya Wanasheria Wanawake Zanzibar-ZAFELA imezindua kitabu cha haki za wanawake kwa mujibu wa quran na sunna za mtume Muhammad S.W.A. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya doble tree mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na wanasheria mbali mbali wanawake pamoja na wajumbe kutoka taasisi ya Konrad Adnawa Stiftung. Akitoa ufafanuzi wa kitabu hicho chenye jumla ya kurasa 68 juu ya haki ya uongozi na ushirikishwaji wa mwanamke pamoja na masuala ya kiuchumi, Mkurugenzi wa ZAFELA Jamila Mahmoud amesema kitabu hicho kimeangazia vyema maeneo hayo kwa mujibu wa muongozo wa dini.