View this book in English The Purpose-Driven Life
Sign up for news and free books by email!
Available for free in Arusha! Request
Maisha Yanayoongozwa na Malengo
2002
Pages 357
1 copy
Niko duniani kwa kusudi gani?
Publisher: International Christian Ministries, Oasis International sw
Maisha Yaliyoongozwa Na Malengo ni zaidi ya kitabu tu; ni mwongozo wa safari ya kiroho. Mara unapo kuchukua safari hii, hutawahi kuwa sawa tena. Katika safari yako utapata majibu ya maswali matatu muhimu zaidi ya maisha: Swali la Kuwepo:
  • Kwa nini mimi niko hai?
  • Swali la Muhimu: Je! Maisha yangu ni muhimu?
  • Swali la Kusudi: Kwanini niko hapa duniani?
...
Translated by
Abel Majaliwa Thomas
Thank you to International Christian Ministries, Oasis International
Download free pdfs
Free books by category