Sign up for news and free books by email!
Mwongozo wa Utekelezaji wa Wakulima Wadogo wa Kahawa Africa
Written by Reiko Enemoto
Publisher Rainforest Alliance
Published 2011
sw
Pages 33
Download 5.2 MB
Kahawa ni mojawapo ya mazao muhimu katika [Mashariki na Kusini mwa] Afrika, na pia ni chanzo cha kipato kwa wakulima wengi wadogo. Pamoja na hayo, iwapo shughuli zisizo endelevu zikiachwa ziendelee, zitachafua mazingira, zitaharibu maji au udongo na kudhuru afya ya wafanyakazi. Kwa njia hii, uzalishaji wa kahawa hauwezi kudumu kwa muda mrefu. Yaliyomo: Utangulizi Sura ya 1: Mbinu Shirikishi za Uthibiti wa Wadudu [na Magonjwa] Sura ya 2: Taratibu Salama za kushughulika na madawa Sura ya 3: Hifadhi ya mfumo wa ekolojia Sura ya 4: Hifadhi ya maji Sura ya 5: Hifadhi ya udongo Sura ya 6: Usimamizi wa takataka Sura ya 7: Maisha bora na mazingira mazuri ya kazi Sura ya 8: Usimamizi wa shamba
...
Thank you to Mkulima
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.