Kilimo Bora cha Maharage
Rasilimali kwa Wakulima kuhusu Maharage Bingwa
Faster download
Language: sw
Details: Kitabu hiki kimeandaliwa kutoka rasilimali za mradi wa Maharage Bingwa.
Summary: Jifunze: - Jinsi ya kuchagua na kupanda mbegu - Jinsi ya kuuza maharage sokoni - Magonjwa na wadugu wa maharage Kitibu hiki kina sehemu tatu: Sehemu ya kwanza na miongozo na mafunzo kwa wakulima. Sehemu ya pili inahusiana jinsi ya kukinga, kutambua, na kutiba magonjwa na wadudu wa maharagwe. Sehemu ya tatu inatoka programu ya redio pamoja na mahojianiano na wataaalumu wa maharage na ushauri wao kuhusu kilimo.