You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Upendo katika Ukristo na Uislamu
Love in Christianity and Islam: A Contribution to Religious Ethics
Written by Mahnaz Heydarpoor
Publisher Al-Itrah Foundation
Published 2002
sw
Pages 49
Neno La Mchapishaji Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza, kwa jina la: “Love in Christianity and Islam.” Sisi tumekiita: “Upendo katika Ukirsto na Uislamu.” Kitabu hiki, “Upendo katika Ukristo na Uislamu” ni matokea ya utafiti wa kielimu uliofanyika na Mwanachuoni wa Kiislamu, Bi. Mahnaz Heydarpoor. Bi. Mahnaz Heydarpoor ni mke wa mwanachuoni mkubwa wa Kiislamu, Sheikh Dr. Mohamed Shomali. Bi. Mahnaz ni mhitimu wa chuo Kikuu mashuhuri cha Qum, Iran. Alikwenda Uingereza kuungana na Mumewe ambaye alikwenda huko kwa ajili ya masomo. Kwa vile na yeye ni msomi aliona asikae bure bali aitumie fursa hiyo kufanya utafiti wa upendo katika Ukiristo na Uislamu, ili kuona dini hizi kubwa mbili zinazungumzia nini kuhusu nukta hiyo na mchango wao katika maadili na uadilifu. Ili kufanikiwa katika utafiti wake alifanya mazungumzo ya mara kwa mara na Wakristo, kuishi nao katika vyuo vyao vya kidini na kuhudhuria mikutano yao. Matokeo ya shughuli hiyo yote ni kitabu hiki ulichonacho mikononi mwako. Tumekiona kitabu hiki ni chenye manufaa sana, hususan wakati huu wa maendeleo makubwa ya elimu katika nyanja zote. Kutokana na ukweli huu, Taasisi yetu ya ‘Al-Itrah Foundation’ imeona ikitoe kitabu hiki kwa lugha ya Kiswahili, kwa madhumuni yake yale yale ya kuwahudumia Waislamu, hususan wazungumzaji wa Kiswahili. Tunamshukuru ndugu yetu, Dr. M. S. Kanju kwa kukubali jukumu hili la kukifanyia tarjuma kitabu hiki. Vilevile tunawashukuru wale wote walioshiriki kwa njia moja au nyingine hadi kufanikisha kuchapishwa kwa kitabu hiki.
...
ISBN: 0904287793
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all