Zimwi la Leo

Faster download

Published Year: 2002

Book Thumbnail

Language: sw

Summary: "Mimi sitaki matunda. Ninataka pesa!" lilifoka Zimwi. "Jamani ndio mti gani huo unaozaa pesa?" mzee mmoja alitaka kujua. "Mpaka na mpesa unaozaa pesa!" alimaka mwengine. Hadithi hii inahusu zimwi ambali sote twalijua. Lakini siyo zimwi la kawaida. K. W. Wamitila ni mwandishi wa riwaya, tamthilia, hadithi fupi, mashairi na vitabu vya kufundisha lugha.