Publisher Sasa Sema Publications
"Kwani wewe hujawahi kuota ndoto ya Amerika?" "Bado" nikamwambia Madoa. Alishangaa. Akaniambia ikiwa sijaota ndoto ya Amerika basi lazima nina kasoro fulani...
Ndoto ya America ni kitabu usichoweza kukiweka chini hadi umeisoma hadithi nzima. Bila shaka kitawasisimua wasomaji wenye umri mdogo na mkubwa pia kwa jinsi kilivyotungwa kwa ufundi mkubwa.
Ken Walibora ni mtangazaji wa runinga na redio katika Kampuni ya Utangazaji ya Nation. Riwaya ya Siku Njema ni mojawapo kazi zake maarufu zilizochapishwa.
...