Muongozo wa Wahamasishaji Jamii: Mpango wa Jamii wa Uhamasishaji na Utekelezaji wa Elimu – MJUUE

Faster download
Download
8.7 MB

Published Year: 2017

Book Thumbnail

Language: sw

Summary: Inatarajiwa kwamba muongozo huu utawasaidia wawezeshaji katika utaratibu wa kuandaa mpango wa elimu, kwa kutoa muundo thabiti na kupendekeza mazoezi ambayo wanaweza kuyatumia na kufikia muafaka. kuna mapendekezo ya nyenzo nyingi ambazo zimefanyiwa majaribio kuweza kuendana na uhalisia na lengo husika ambazo muwezeshaji anaweza kuzitumia katika utaratibu wa kuandaa mpango.