You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Kanuni za Clarity kwa Ajili ya Marekebisho ya Sheria
Publisher Cooperative Law and Regulation Initiative (CLARITY)
sw
Kanuni nne za mwanzo za CLARITY zinatokana na umuhimu wa kuwa na sheria za kulinda na kuendeleza udhibiti wa kidemokrasia wa vyama vya ushirika kwa uanachama. Kanuni za CLARITY zinathibitisha kuwa mifumo ya kisheria na kikanuni zinapaswa: -- Kulinda mfumo wa kidemokrasia wa vyama vya ushirika, kukabidhi udhibiti wa chama kwa wanachama wake. -- Kulinda uhuru wa vyama vya ushirika katika uendeshaji bila ya kuingiliwa na watu wa serikali, au vyombo vingine ambavyo sio wanachama wa ushirika. ™ Kulinda uhiyari wa uanachama katika vyama vya ushirika, kuruhusu uwanachama uamuliwe na ushirika wenyewe, na sio kuamriwa na sheria au agizo la serikali; na -- Kulinda na kuendeleza dhima za uanachama zikijumuisha majukumu ya kuchangia na kuthibiti mtaji wa ushirika kwa usawa na kidemokrasia.
...
Thank you to Cooperative Law and Regulation Initiative (CLARITY)
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all