Publisher Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Tanzania - Ministry of Health and Social Welfare
Kujifahamu ni kuelewa kuwa kila mtu anaishi kama mtu pekee aliye tofauti na wengine wote. Unavyojifamu vizuri zaidi ndivyo unavyoweza kukubali ulivyo au kufanya mabadiliko. Mtu anapojifahamu hawezi kujiona ana udhaifu mwingi zaidi kiasi cha kujidharau mwenyewe.
-Mpango wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI
Machi 2010
Kimetafsiriwa kutoka lugha ya Kiingereza na Benny Muga Lugoe
...