View this book in English Antenatal Care Part 2
Sign up for news and free books by email!
Utunzaji katika Ujauzito - Sehemu ya 2
Written by HEAT Health Education and Training
Publisher: The Open University sw
Karibu katika Moduli ya Utunzaji katika Ujauzito. Lengo la utunzaji katika ujauzito ni kudumisha afya ya mama na ya mtoto kwa kufuatilia hali njema ya mwanamke huyo pamoja na fetasi katika ujauzito, na kuwasaidia kuvuka vizuri hadi katika leba na uzazi. Moduli hii itakupa kanuni za kimsingi na utekelezaji wa utunzaji katika ujauzito katika kituo cha afya na nyumbani. Ina Vipindi 22. Katika Sehemu ya Kwanza: Yaliyomo 0 Utangulizi 1 1 Kupanga Utunzaji katika Ujauzito 3 2 Kuendeleza Utunzaji katika Ujauzito 15 3 Anatomia na Fiziolojia ya mfumo wa Uzazi wa Kike 27 4 Udhibiti wa Homoni katika Mfumo wa Uzazi wa Kike 38 5 Utungisho, Upandikizaji, na Mzunguko wa Damu kwenye Fetasi na Plasenta 45 6 Maumbile ya Pelvisi ya Mwanamke na Fuvu la Fetasi 54 7 Mabadiliko ya Kifiziolojia katika Ujauzito 63 8 Kutambua ujauzito na Kujifunza Historia ya Mwanamke Mjamzito 76 9 Kutathmini Mama Mjamzito kijumla 91 10 Kukadiria Umri wa Ujauzito kutoka kwa Kipimo cha Urefu wa Fandasi 103 11 Kutathmini Fetasi 113 12 Matatizo Madogo ya ujauzito 124 - Maandishi kuhusu Maswali ya Kujitathmini ya Utunzaji katika Ujauzito 135
...
Creative Commons https://www.open.edu/openlearncreate/mod/resource/view.php?id=53414
...
Thank you to The Open University
Not part of any reading lists yet
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Or check out these books being discussed
Books being discussed
Related books: Browse all