You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Science
Secondary Subject Resources
Publisher The Open University
Published 2017
en
Download
4.2 MB
TESSA (Teacher Education in Sub-Saharan Africa) aims to improve the classroom practices of primary teachers and secondary science teachers in Africa through the provision of Open Educational Resources (OERs) to support teachers in developing student-centred, participatory approaches. The TESSA OERs offer activities for teachers to try out in their classrooms with their students, together with case studies showing how other teachers have taught the topic, and linked resources to support teachers in developing their lesson plans and subject knowledge. TESSA OERs have been collaboratively written by African and international authors to address the curriculum and contexts. They are available for online and print use (http://www.tessafrica.net). Secondary Science OER are available in English and have been versioned for Zambia, Kenya, Uganda and Tanzania. There are 15 units. Science teacher educators from Africa and the UK, identified five key pedagogical themes in science learning: probing children’s understanding, making science practical, making science relevant and real, creativity and problem solving, and teaching challenging ideas. Each theme is exemplified in one topic in each of Biology, Chemistry and Physics. Teachers and teacher educators are encouraged to adapt the activities for other topics within each subject area. We welcome feedback from those who read and make use of these resources. The Creative Commons License enables users to adapt and localise the OERs further to meet local needs and contexts. Contents Module 1 Biology ● Section 1 Classification and adaptation ● Section 2 Transport ● Section 3 Respiration ● Section 4 Nutrition, conservation and ecology ● Section 5 Cells Module 2 Chemistry ● Section 1 Elements, compounds and mixtures ● Section 2 Acids, bases and salts ● Section 3 Combustion ● Section 4 Atomic structures, chemical families and the periodic table ● Section 5 States of matter Module 3 Physics ● Section 1 Properties of matter ● Section 2 Measurement ● Section 3 Pressure and heat transfer ● Section 4 Forces ● Section 5 Electricity and magnetism
...
Kuna vitengo 15 vya Sayansi ya Sekondari vya TESSA ambavyo unaweza kuvipata katika ukurasa huu. Vimeundwa na washiriki kutoka Ghana, Zambia, Kenya, Tanzania na Uganda. Tumechagua mada ambazo ni ngumu kwa kufundisha kutokana na mtaala wa Sayansi ya Sekondari ya awali na pia zilizo za kawaida katika nchi zote. Vitengo vimekusanywa katika makundi matano ya dhamira za ufundishaji, yakionyesha ufundi na tabia ya mwalimu mwenye ufanisi. Hivi ni: Kuchunguza kwa makini uelewaji wa wanafunzi Kuifanya sayansi ya utendaji Kuifanya sayansi ya ukweli na yenye maana Kutatua masuala na ubunifu Kufundisha mawazo yenye changamoto Kila dhamira hujitokeza kwa mfano wake katika Biolojia, Kemia na Fizikia, na zote huwa jumla ya vitengo 15. Kama mada unayoifundisha haikuwekwa humu, basi tunatumai kwamba wewe mwenyewe utaweza kuirekibisha mojawapo ya vitengo ili vilingane na hali halisi ya kile unachokihitaji. Kama ungependelea kuchagua dhamira ya ufundishaji mmoja tu basi itakubidi kupakua sehemu zote za 1 ili kujifunza jinsi ya ‘kuchunguza ufahamu wa watoto’; sehemu ya 2 ili kujifunza jinsi ya ‘kuifanya sayansi ya utendaji’; sehemu ya 3 ili kujifunza jinsi ya ‘kuifanya sayansi ya ukweli na yenye maana’; sehemu ya 4 ni kujifunza jinsi ya ‘kutatua masuala na ubunifu’; na sehemu ya 5 ni kujifunza jinsi ya ‘kufundisha mawazo yenye changamoto’. Kama rasilimali hizi ni inapatikana kwa Kiingereza utaelekezwa kwa pan-Afrika toleo English
...
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all