Kuwanusuru Wakina Mama Wakati Wa Kujifungua Utokaji Damu Nyingi Baada Ya Kujifungua
Mwongozo kwa Watoa Huduma - Mafunzo kwa vitendo katika vikundi
Faster downloadPublished Year: 2015

Language: sw
Summary: Mafunzo ya utokaji wa damu nyingi baada ya kujifungua ni jumla ya mafunzo yaliyopangwa kwa vikundi vilivyo mstari wa mbele katika kutoa huduma ya afya ya uzazi kwa wakina mama na vichanga. Mafunzo haya ni muhimu kwa watoa huduma wote wa afya wanaohudumia wazazi. Mafunzo haya yanawajumuisha wahudumu wenye ujuzi (wakunga, madaktari pamoja na wafanyakazi wengine) wanoweza kuitwa kufuatana na hali halisi. Mafunzo ya utokaji damu nyingi baada ya kujifungua yameandaliwa ili kuwasaidia watoa huduma kupata stadi na ujuzi wa kufikia umahiri unaohitajika kumudu kwa usalama na ufanisi kuzuia, kutambua na kuhudumia utokaji wa damu nyingi baada ya kujifungua.