You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

View this book in English Aesop's Fables for Children
Sign up for news and free books by email!
Hadithi za Esopo (Aesop's Fables)
Chuo cha Kwanza cha Kusomea
Written by Aesop
Published 1880
sw
Pages 184
Download 2.1 MB
This book is public domain or creative commons
Hadithi hizi maarafu zilitungwa na Esopo, mtumwa wa Ugiriki wa Kale, takribani miaka 600 KK! Edward Steere alizitafsiri kwa kiswahili na kitabu hiki kilichapishwa mwaka 1880, Zanzibar. Kilikusudiwa kufundisha kusoma. Vizazi vingi katika nchi zote za dunia wamefurahi kusomeana visa hivi kuhusu wanyama, vinavyofundisha maadili, busara, and tabia bora kwa watoto hadi ya leo. Ufurahie kuvisoma na familia yako! Hadithi au Visa vya Esopo vinatokana na masimulizi ya Esopo, ambaye inaaminika kuwa alikuwa ni mtumwa wa Kiafrika aliyeishi kati ya mwaka 620 na 560 Kabla ya Kristo katika Ugiriki wa Zamani. Visa vyake hutumiwa kutoa mafunzo na kuburudisha. Visa hivi hutumiwa kwa wingi katika vitabu vya watoto na vikaragosi. Historia ya Esopo haijulikani vyema. Inaaminiwa kuwa alikuwa ni mtumwa aliyeachiliwa huru na baadaye alikuja kuuliwa na Wadeliphi. Baadhi ya wanazuoni wanaamini kuwa hakuna mtu aliyewahi kuishi katika historia aliyeitwa Esopo. Hadithi ziliandikwa na chapishwa mwaka 1880
...
Kitabu hiki hakina hakimiliki. Jisikie huru kushiriki na wenzako!
...
Translated by
Edward Steere
Thank you to Internet Archive
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all