Kupata Mtoto
Having a Baby (Swahili 2nd Edition)
Faster download
Language: sw
Details: www.kidsfamilies.health.nsw.gov.au Kazi hii ni haki ya kunakili. Inaweza kunakiliwa yote au kwa sehemu kwa kusudi ya mafunzo ya kufuata masharti ya kuweka ndani shukurani ya asili yake. Haiwezi kunakili kwa matumizi ya biashara au kuuza. Kunakiliwa kwa kusudi nje ya kusudi iliyotajwa hapo juu huhitaji ruhusu ya maandishi kutoka kwa Idara ya Afya NSW. Nakala ziada za hati hii zinaweza kupakua kutoka tovuti ya NSW Kids and Families www.kidsfamilies.health.nsw.gov.au
Summary: Hongera kwa ujauzito wako! Labda umekuwa ukipanga ujauzito wako kwa muda mrefu, au labda umegundua bila kutazamiwa kuwa uko na mimba. Njia yoyote, inawezakana kuwa una maswali mengi. Kitabu hiki kinatoa maelezo kuhusu jinsi ya kujitunza wewe na mtoto wako wakati wa ujauzito pamoja na wiki zenye shughuli nyingi baada ya uzazi. Ni kuhusu nini unachotazamia wakati wa uchungu wa kujifungua mimba pamoja na uzazi na jinsi ya kuamua maamuzi yenye kufahamika kuhusu utunzaji wako. “Hukuna kitu kingine kama kugundua umekuwa mja mzito. Unatembea barabarani kama una siri nzuri kufichwa ndani yako” -Kit