Mwongozo wa kufundisha afya katika shule na jamii kupitia wafanyakazi wa afya

Faster download
Book Thumbnail

Language: sw

Details: Hati zifuatazo zimeandikwa kwa ushirikiano kati ya Partnership for child Development (PCD) yani Ushirikiano wa Maendeleo ya Mtoto, na Serikali ya Kenya, Taasisi ya Utafiti ya Kenya ya magonjwa (KEMRI) na International Rescue Committee, Umoja wa Mataifa wa Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) na Shirika la Chakula Duniani (WFP).

Summary: Kitabu hiki kita patiana elimu na hoja pia habari kuhusu uzuiaji wa magonjwa, ulaji wa lishe bora na wakati wa kutafuta matibabu ya magonjwa yanayo wakabili. Lishe bora ina umuhimu mkubwa kwa afya ya mama na watoto, inachangia pakubwa ukuaji wa mtoto, ukomavu wa akili na pia kuzuia uambukizi wa magonjwa. Jumbe za usafi na mazingira bora ina faidi watu kwa maarifa ambayo yata badilisha tabia na kuzuia uambukizaji wa magonjwa tofauti tofauti. Mwisho, itachangia kwa habari kuhusu magonjwa na uzuiaji na pia wakati wa kuhitaji matibabu ambayo itasaidia jamii kushughulikia afya na kuwapa nafasi nzuri kuishi kwenye mazingira ya afya na maisha mazuri.