Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Queen of Keepy Uppy – Mkali wa Dana Dana
adding positive and negative - kujumlisha namba hasi na chanya
Kimeandikwa na Ubongo Kids
Mchapishaji Mkuki na Nyota
Kiduchu proves that girls can play football just as well as boys. But when the ball lands in Mzee Kigo’s yard, she has to use her math skills to add positive and negative numbers if she wants to get the ball back. Kiduchu anaonyesha kuwa wasichana wanaweza kucheza mpira wa miguu kama wanavyoweza kucheza wavulana. Lakini wakati mpira ulipodondokea nyumbani kwa Mzee Kigo, ikabidi Kiduchu afanye hesabu za hasi na chanya ili aweze kupata mpira Ubongo Kids Books help children to learn and love mathematics and science through entertaining stories and fun activities. Vitabu vya Ubongo Kids vinawasaidia watoto kujifunza na kupenda hisabati na sayansi kwa kupitia hadithi zinazofurahisha na mazoezi ya ufahamu.
...
ISBN: 9789987083084
Shukrani kwa Mkuki na Nyota
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.