You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

What Do You Like to Do? – Unapenda Kufanya Nini?
Kimeandikwa na Ubongo Kids
Mchapishaji Mkuki na Nyota
Happy Hippo likes to read. Little Lion likes to jump. Bush Baby likes to draw beautiful pictures. What do you like to do? Happy Hippo anapenda kusoma. Little Lion anapenda kuruka. Bush Baby anapenda kuchora picha nzuri. Na wewe je, unapenda kufanya nini? Have fun when learning with books of Akili and Me, in both English and Kiswahili! Read the books to your children to help them learn to read. Enjoy more activities with more learning! Furahia kujifunza kwa kupitia vitabu vya Akili and Me, kwa Kiswahili na Kiingereza. Msomee mwanao umsaidie kujifunza kusoma. Faidika na mazoezi ya kufurahisha na ujifunze zaidi.
...
ISBN: 9789987083121
Shukrani kwa Mkuki na Nyota
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all