You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Jiandikishe upate habari na vitabu bure!
Happy and Sad – Furaha na Huzuni
Kimeandikwa na Ubongo Kids
Mchapishaji Mkuki na Nyota
Mwaka 2017
We all feel happy, and we all feel sad. Akili helps Little Lion to understand how it feels to be sad and how we can make ourselves happy again. Kuna wakati tunahisi furaha, na kuna wakati tunahisi huzuni. Akili anamsaidia Little Lion kuelewa hisia ya huzuni na jinsi tunavyoweza kuwa na furaha tena. Have fun when learning with books of Akili and Me, in both English and Kiswahili! Read the books to your children to help them learn to read. Enjoy more activities with more learning! Furahia kujifunza kwa kupitia vitabu vya Akili and Me, kwa Kiswahili na Kiingereza. Msomee mwanao umsaidie kujifunza kusoma. Faidika na mazoezi ya kufurahisha na ujifunze zaidi.
...
ISBN: 9987083102
Shukrani kwa Mkuki na Nyota
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all