You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Lazime uingie akaunti ili kubadilisha wasifu wako au kuona wasifu wa wengine

Umeshafungua akaunti? Ingia

Ingia
Umesahau nenosiri lako?
Sijapata barua pepe ya kuthibitisha

Fungua akaunti mpya

Clever Bird – Ndege Mjanja
even and odd numbers - namba shufwa na namba witiri
Kimeandikwa na Ubongo Kids
Mchapishaji Mkuki na Nyota
Kibena and Kiduchu come across a mysterious bird. It seems that she only takes even numbers of seeds back to her nest. Learn about odd and even numbers, and uncover the secret of the mysterious bird. Kibena na Kiduchu wanakutana na ndege mjanja anayedonoa mbegu za namba shufwa. Jifunze kuhusu namba shufwa na witiri na gundua siri ya ndege mjanja. Ubongo Kids Books help children to learn and love mathematics and science through entertaining stories and fun activities. Vitabu vya Ubongo Kids vinawasaidia watoto kujifunza na kupenda hisabati na sayansi kwa kupitia hadithi zinazofurahisha na mazoezi ya ufahamu.
...
ISBN: 9789987083060
Shukrani kwa Mkuki na Nyota
nakala 1
Kinapatikana Arusha bila malipo! Omba
Una maoni juu ya kitabu hiki?
Toa maoni yako ili kuanzisha majadiliano!
Kabla ya kuona na kutoa maoni, lazima uingie kwenye akaunti. Kutengeneza akaunti ni rahisi na bure,na huchukua chini ya dakika 1!
Vitabu vinavyohusiana: Browse all