Clever Bird – Ndege Mjanja

even and odd numbers - namba shufwa na namba witiri

Book Thumbnail

Language: multiple

Details: link: https://mkukinanyota.com/product/clever-bird-ndege-mjanja/ Categories: Bilingual, Children's, English, Language, Picture book, Primary, Swahili, Textbook Adapted from the TV show Ubongo Kids

Summary: Kibena and Kiduchu come across a mysterious bird. It seems that she only takes even numbers of seeds back to her nest. Learn about odd and even numbers, and uncover the secret of the mysterious bird. Kibena na Kiduchu wanakutana na ndege mjanja anayedonoa mbegu za namba shufwa. Jifunze kuhusu namba shufwa na witiri na gundua siri ya ndege mjanja. Ubongo Kids Books help children to learn and love mathematics and science through entertaining stories and fun activities. Vitabu vya Ubongo Kids vinawasaidia watoto kujifunza na kupenda hisabati na sayansi kwa kupitia hadithi zinazofurahisha na mazoezi ya ufahamu.