Usiku wa Balaa
Published Year: 2009

Language: sw
Details: link: https://vitabu.edvisionpublishing.co.tz/product/usiku-wa-balaa/
Summary: Godegode inateketea. Mtoto Bure anapoteza wazazi wake. Kijiji kizima na watu wake wanatoweka. Bure anajikuta peke yake. Je,anafanya nini ili aishi? Soma Usiku wa Balaa ili uungane na Bure ushuhudie athari za Vita Kuu ya Kwanza kwa jamii .