Jifunze kusoma na kuandika kwa tabasamu!
Sifa:
Mazeozi ya kuandika herufi zote, kubwa na ndogo
Michoro ya kupaka rangi ipo katika kurasa zote
Hadithi za sentensi moja za kusomea kwa sauti
Sauti ma herufi za Kiswahili (mf. Ng, Dh, Gh, Nj nk.)
Faida:
Mazeozi hukuza uwezo wa kuandika
Hadithi za kufurahisha zitafundisha msamiati mpya
Kupaka rangi hukuza ubunifu na uwezo wa mikono
Elimu bure nyumbani bila simu wala computer
...