Mwongozo kwa ajili ya Klabu za Mazingira katika Shule za Msingi
Toleo la Milima ya Tao la Mashariki
Faster downloadPublished Year: 2011

Language: sw
Summary: Ni muhimu sana kuwa na ufahamu kuhusu mazingira, vitu na viumbe vilivyomo na matatizo yake, na ukiweza kupata ufahamu, motisha na kujituma ukiwa shuleni, unaweza kusaidia kuleta mabadiliko katika jamii na katika mazingira unayoishi kwa sasa na baadaye. Mwongozo huu unawapatia walimu na wanafunzi njia ya kuunda klabu ya mazingira, na mbinu za kuifanya klabu iwe endelevu. Mwongozo huu umetayarishwa na Shirika la Kuhifadhi Misitu ya Asili Tanzania (TFCG). TFCG ni shirika lisilo la kiserikali ambalo ujumbe wake ni kuhifadhi na kurudisha bioanuwai ya misitu muhimu kidunia ya Tanzania kwa faida ya kizazi cha sasa na vizazi vijavyo