Fred Fact Haamini Habari Ghushi
Faster downloadPublished Year: 2018

Language: en
Details: Imetafsiriwa na Profesa Kimani Njogu. Kazi ya kutafsiri nakala hii imewezeshwa na Mashirika ya Code for Kenya na PesaCheck. Kitabu hiki cha katuni kilitolewa na Jukwaa la Kuangalia Ukweli la Brazil Aos Fatos, kwa ushirikiano na Mtandao wa Kimataifa wa Kuangalia Ukweli katika Poynter Institute
Summary: Kuwa kama Fred. Hapa kuna vidokeszo saba vya kukusaidia. Mara ngapi umesoma kitu halafu ukajiuliza:"Hizi ni habari ghushi?" Kuna habari nyingi, vyanzo vingi na watu wengi wanaoanzisha na kuenea taarifa, na ni vigumu sana kujua ni gani ya ukweli na gani isiyo ya ukweli kwenye mtandao.