Sign up for news and free books by email!
7 copies
Available for free in Arusha! Request
Siri za Maisha
2010
pages 79
Written by Emanuel Mbogo
Publisher: E & D Vision Pub. sw
Kama wewe ni mwanafunzi , mfanyabiashara, mwalimu, profesa, msanii, mkulima, fundi, mwanariadha au mama wa nyumbani, unao uwezo wa kubadilisha Maisha yako katika Nyanja yoyote ile kama unataka. Unaweza ukakataa kusota na kubaki hapo ulipo, kwa kupambana na changamoto ya aina ile ili uweze kupata ushindi maishani. Kitabu hiki kinatoa mwongozo, kanuni , mbinu na maarifa ya kukuwezesha kuibua vipaji na uwezo mkubwa uliojificha ndani yako na kukufikisha juu ya kilele cha mafanikio. Wakati ni huu, unao uwezo wa kubadilisha Maisha yako. Fanya hivyo sasa!
...
ISBN: 9987521436
Thank you to E & D Vision Pub.
Download free pdfs
Free books by category