Mwongozo unaoonyeshwa Kwa Wasaidizi wa Jumuiya Afya ya Wanyama

Jimboni Kivu ya Kusini na Tanganyika, Jamuhiri ya ki demokratia ya Congo

Faster download
Pakua
4.4 MB

Published Year: 2018

Book Thumbnail

Language: sw

Summary: Mradi wa ku tiya ufugaji kwenye walimaji wenyi shamba ndogo (CLIP) ambayo ime tekelezwa na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI) iki wasiliyana na Taasisi ya Kimataifa ya Kilimo ya Kitropiki ambawo wamesaidiya kifeza na FIDA na muungano wa inchi za ulaya ime fanya utafiti kuhusu magonjwa ya wanyama zenye zinapatikana sana ndani yajimbo la Kivu ya Kusini ya Jamuhuri ya ki Democratia ya Congo mu mwaka wa 2017. Mwongozo huu unazingatiya matokeo ya ile utafiti