Shughuli za Kujifunzia Nyumbani
Faster download
Language: sw
Summary: Mazoezi haya ni kwa ajili ya nani? ◼ Mazoezi haya ni ya familia zote za watoto wenye ulemavu na wasio na ulemavu. ◼ Mazoezi haya ni ya kila mtu - mama na baba, walezi, wasichana na wavulana, vijana, ndugu (kaka na dada), babu na bibi, mjomba na shangazi. Kuna fursa nyingi za kujifunza pamoja