Kusafisha Kijito

Imechochewa na Kisa Halisi Cha Maisha

Faster download
Download 2.5 MB

Published Year: 2021

Book Thumbnail

Language: sw

Details: Kitabu hiki cha picha cha watoto ni tukio la ushirikiano baina ya Ashoka na shirika la Worldreader. Kinalenga kuwahamasisha watoto kila mahali kuwa wanamageuzi na kuwahimiza watu wazima kuwaunga mkono katika safari hiyo.

Summary: “Kusafisha Kijito”, ni hadithi ambayo imechochewa na kisa halisi cha maisha ya mvulana mdogo kutoka taifa la Brazili aliyeshangazwa na wingi wa taka ndani na kando kando pa mto uliopo karibu na kwao. Akidhamiria kuchukua hatua, aliwahimiza wanajamii kushirikiana katika kusafisha mto na kurejesha urembo wake wa asili.