View this book in English The Rule of Law: A Guide for Politicians
Sign up for news and free books by email!
Utawala wa Sheria: Mwongozo kwa Wanasiasa
Publisher The Raoul Wallenberg Institute of Human Rights and Humanitarian Law
Published 2012
sw
Pages 41
Download 1.0 MB
Madhumuni ya mwongozo huu ni kuwapatia wanasiasa uwelewa juu ya misingi muhimu ya utawala wa sheria. Maelekezo ya utayarishaji wa Mwongozo huu yalikuwa ni kuwa uwe mfupi kama inavyowezekana ili uweze kusomwa na wanasiasa wenye shughuli nyingi katika ngazi mbalimbali. Lakini vile vile uwe na faida kwa watoaji maamumuzi na watunga sera wengine, kwa wanahabari na wengineo wanaohitaji kujipatia uwelewa kuhusu mada hii. Kadhalika, Mwongozo huu lazima uwe ni rahisi kuutafsiri na kuchapishwa kwa lugha mbalimbali. Hii ndiyo maana hamna michoro ya majedwali na picha katika Mwongozo huu. Lugha halisi ya Mwongozo huu ni Kiingereza. Hata hivyo, Mwongozo unaweza kutafsiriwa katika lugha nyengine kwa ruhusa ya Taasisi husika, ilimradi tu Utangulizi huu unakuwemo na kuwa tafsiri hiyo ni tafsiri ya kweli ya makala hii. Nakala halisi ya Mwongozo huu inapatikana katika mitandao ya Taasisi simamizi, na tafsiri zitaingizwa humo vile vile.
...
Tafsiri ya Kitabu hiki kutoka lugha ya Kiingereza kwenda Kiswahili imefanywa na Bw. Adam Shafi na Bodi na Wafanyakazi wa Kituo cha Huduma za Sheria cha Zanzibar (Zanzibar Legal Services Centre), S.L.P. 3360, Zanzibar, Tanzania kwa kujitolea (pro bono).
...
Translated by
Adam Shafi
ISBN: 978-91-86910-78-5
Thank you to Taasisi ya Raoul Wallenberg ya Haki za Binadamu na Sheria za Kibinadamu
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.