Jibini Tamu!
Published Year: 1999

Language: sw
Details: Categories: ["Juvenile Nonfiction / Language Arts / General", "Juvenile Nonfiction / Foreign Language Study / General"]
Summary: Siku moja usiku katika ghala la kiwanda cha kusindika maziwa, panya wadogo walikuwa wanacheza. Tucheze kombolela. Nani atazingua?” Panya Mdogo aliuliza. Tuhesabu!” Panya mrefu alisema.