Habari Njema: Agano Jipya Kitabu cha 6
Publisher Chama cha Biblia cha Kenya & Chama cha Biblia cha Tanzania
Published 1986
sw
Pages 37
Ndugu Msomaji, Kitabu unachoshika sasa ili kusoma ni kitabu kimojawapo katika mfululizo wa vitabu sita. Tunakushauri ujipatie vitabu vyote sita. Vitabu vyote vimeandikwa katika lugha nyepesi. Vitabu hivi vimekusudiwa kukusaidia kuongeza uwezo wako wa kusoma. Pia vimekusudiwa kukusaidia kuifahamu Biblia. Habari zote zilizomo katika vitabu hivi zimechukuliwa kutoka Agano Jipya linaloitwa "Habari Njema kwa Watu Wote." (Agano Jipya ni Sehemu ya Biblia.)
...
Thank you to Chama cha Biblia cha Kenya & Chama cha Biblia cha Tanzania
1 copy
Available for free in Arusha! Request
Donated by
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all

No Books Found

Based on the filters you selected, there are currently no books.