You are now browsing in English. Switch to Swahili
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiingereza. Rudi kwa Kiswahili"
You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

View this book in English Chicken 101
Kuku 101
Usimamizi wa Ufugaji wa Kuku katika Jamii Zinazoendelea
Written by Jonathan Moyle
Publisher University of Maryland Extension
sw
Pages 145
Kuku wanapatikana duniani kote, na wanabadilisha chakula chao kuwa kuwa nyama kwa ufanisi. Protini bora ni muhimu kwa ajili ya ukuaji wa mtoto. Kuboresha ufugaji wa kuku sio tu huongeza usalama wa chakula na lishe, bali pia ni kuongeza uhakika wa kipato. Wastani wa matumizi ya nyama ya kuku duniani ni takribani kilo 13.2 kwa kila mtu kwa mwaka. Wastani wa matumizi ya mayai duniani ni takribani kilo 8.9 kwa mtu kwa mwaka. Kuku wa kisasa wanaweza kufikia uzito unaokubalika kwenye soko ndani ya miezi 3. Kuku anaweza kutaga mayai 300 kwa mwaka. Kwa sababu gharama za kuanzisha na kuendesha zipo chini, pamoja na kuwa na uwezekano mkubwa wa kuboresha maisha ya watu, ufugaji wa kuku ni moja ya sehemu ya kuanzia katika biashara za kilimo duniani
...
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all