Publisher General Printers Ltd. Nairobi
Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo huu wa Hadithi za Msingi. Kusudi kubwa la kitabu hiki ni kuwapa watoto mazoezi ya kusoma na kuelewa hadithi hizi zenye busara. Katika kitabu cha kwanza kila hadithi ina funzo mwisho wako. Kitabu hiki cha pili mwalimu na mwanafunzi wanapaswa kutafuta funzo lifaalo kwa kila hadithi. Zaidi ya hivyo hiki kitabu cha pili hakin msamiati wa maneno mapya au magumu. Kwa hivyo ni juu ya mwalimu kuwafundisha watoto matumizi ya Kamusi ya Kiswahili.
...