Ninaanzaje Sekondari Kwa Mafanikio
Faster downloadPublished Year: 2021

Language: sw
Details: Kitabu hiki kinasambazwa na Elimu Yetu bila malipo kwa idhini ya mwandishi, Bro. Elihuruma Maruma. Tunamshukuru sana.
Summary: Kitabu Elekezi kwa Wanafunzi Wanaotarajia Kuanza Elimu ya Sekondari. Wakati ulipokuwa mdogo sana ilikuwa ni ngumu sana kwako kujua kwamba ipo siku utahitimu Elimu ya Msingi na kisha utaanza Elimu ya Sekondari. Chukulia ulipokuwa Chekechea, Je wakati huo ulishawahi kuwaza kwamba utakuja kusoma Elimu ya Sekondari? La hasha, Ila leo tayari wewe ni mwanafunzi aidha mtarajiwa au tayari upo shule fulani ya Sekondari.