Kitabu hiki kinafundisha jinsi ya kuandika hesabu na jinsi ya kujumlisha , kutoa, kuzidisha na kugawanya. Mwandishi Edward Steere (1828 - 26 Agosti 1882) alikuwa mwanatheolojia Mwanglikana kutoka Uingereza aliyepata kuwa askofu wa Zanzibar akikumbukwa kuwa kati ya Wazungu wa kwanza waliokusanya matini za Kiswahili na kutunga sarufi ya lugha hiyo.
...