You need to login to view profiles OR to update your profile

Have an account? Login

Log in
Forgot your password?
Didn't receive your confirmation email?

Create a new account

Sign up for news and free books by email!
Mwongozo wa Stadi za Maisha
Publisher WHO, UNESCO, Peace Corps
sw
Download 2.1 MB
This book is public domain or creative commons
Je wewe ni mfanyakazi wa sekta ya afya unayejitahidi kudhibiti viwango vya maongezeko ya Virusi Vya UKIMWI, magonjwa ya ngono, mimba zisizohitajika, au vifo vya akina mama wazazi? Je wewe ni mwalimu unayefanya kazi kila siku na vijana wanaoonekana kutokuwa na mwelekeo thabiti, wanaoacha shule kwa sababu ya kupata mimba, au wanaoingia katika matatizo kwa sababu ya ulevi wa pombe ama utumiaji wa madawa ya kulevya? Je umekuwa ukitoa elimu ya afya kwa miaka mingi lakini bila kuona mabadiliko mazuri (chanya) katika jumuiyah yako? Je wewe ni mzazi, mfanyakazi wa jumuiya wa kujitolea, au kiongozi wa jumuiya unaeogopeshwa na maafa yanayotokana na Virusi Va UKIMWI/UKIMWI, yanayotokea katika eneo lako? Je wewe ni kijana uliye tayari kusaidia kuwaongoze wenzako kufikia maisha mazuri zaidi siku za baadaye? Kama jibu lako ni "ndiyo" kwa swali lolote miongoni mwa maswali ya hapo juu basi Programu ya Stadi za Maisha inaweza ikawa kwa ajili yako!
...
Have thoughts on this book?
Add a comment to get the conversation started!
Before viewing or adding comments, you must create an account. It takes just seconds!
Related books: Browse all