Thank you, Kase Stores Ltd. and Fanuel Francis for the generous donation of 30 books, now available for checkout at the Elimu Yetu Library in Arusha, Tanzania.
“Shukrani kwa Kase Bookstore Ltd. na Fanuel Francis kwa kutoa mchango wa ukarimu wa vitabu 30. Vinapatikana sasa kwa kuazima kwenye Matkaba ya Elimu Yetu, Kijenge Tindigani. Karibuni!”
Download your Certificate of Recognition below!
“Pakua Cheti cha Kutambua Mchango chako chini!”
1. Tanzania! Tanzania! na Mwl. J.K. Nyerere
2. Shabaha ya Elimu Kwa Jamii
3. Diwani ya Ustadh Andanenga
4. Mwongozo wa Kitabu cha Amosi
5. Mwongozo kwa Waraka kwa Waebrania
6. Mwongozo wa Zaburi
7. History 4: Primary Schools, Pupil's Book
8. Sayansi 1: Shule za Msingi - Kitabu cha Mwanafunzi
9. Jiandae Vema Misingi ya Sayansi kwa Shule za Msingi - Sehemu ya Pili
10. Improve your Social Studies : Standard 6 Coursebook
11. Maarifa ya Nyumbani 1
12. Maarifa ya Nyumbani 2
13. Uraia kwa Shule za Msingi Darasa la Tatu
14. Uraia kwa Shule za Msingi...
Read more...