Ninatembelea: I am visiting
unatembelea: You are visiting
tunatembelea: We are visiting
anatembelea: He/she is visiting
wanatembelea: They are visiting
kusafiri: to travel
ninasafiri: I am traveling
unasafiri: you are traveling
tunasafiri: we are traveling
anasafiri: He/she is traveling
wanasafiri: they are traveling
kuendesha: to drive
ninaendesha: i drive
unaendesha: you drive
- Do you speak English?: unasema kiingereza?
- Do you speak Swahili?: unasema Kiswahili?
- Just a little bit: kidogo tu
- How do you say... in Swahili?: unasemaje... kwa kiswahili
- I don't understand: sielewi
- Where is the...?: ni wapi...?
- Airport: uwanja wa ndege
- Bus station: stesheni ya basi
- Bus stop: bas stendi
- Taxi stand: stendi ya teksi
- Train Station: stesheni ya treni
- Bank: benki
- Market: soko
- Police station: kituo cha polisi
- Post office: posta
- Tourist Office: ofisi ya watali
- Toilet/ bathroom: choo
- What time is the... leaving?: inaondoka saa... ngapi?
- Bus: basi
- Minibus: matatu (Kenya); dalla dalla (Tanzania)
- Plane: ndege
- Train: treni/gari la moshi
- Is there a bus going to...?: kuna basi ya...?
- I'd like to buy a ticket: nataka kununua tikiti
- Is it near: ni karibu?
- Is it far: ni mbali?
- There: huko
- Over there: pale
- Ticket: tikiti
- Where are you going?: unakwenda wapi?
- How much is the fare?: nauli ni kiasi gani?
- Hotel: hoteli
- Room: chumba
- Reservation: akiba
- Are there any vacancies for tonight?: mna nafasi leo usiko? (Kenya: iko nafasi leo usiku?)
- No vacancies: hamna nafasi. (Kenya: hakuna nafasi)
- How much is it per night?: ni bei gani kwa usiku?
- I'd like: nataka
- Food: chakula
- Hot/cold: ya moto/baridi
- Water: maji
- Hot water: maji ya moto
- Drinking water: maji ya kunywa
- Soda: soda
- Beer: bia
- Milk: maziwa
- Meat: nyama
- Chicken: nyama kuku
- Fish: sumaki
- Beef: nyama ng'ombe
- Fruit: matunda
- Vegetables: mboga
- Where can I find a...?: naweza kupata... wapi?
- Doctor: daktari/mganga
- Hospital: hospitali
- Medical center: matibabu
- I'm sick: mimi ni mgonjwa
- I need a doctor: nataka kuona daktari
- It hurts here: naumwa hapa
- Fever: homa
- Malaria: melaria
- Mosquito net: chandalua
- Headache: umwa kichwa
- Diarrhoea: harisha/endesha
- Vomiting: tapika
- Medicine: dawa