You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Mwito wa Uhuru
Published Year: 1961
Language: sw
Summary: "Mwito wa Uhuru’’ kilichapwa mwaka wa 1961 kabla ya Tanganyika kupata uhuru wake. Mwandishi alikuwa mwanaharakati na kiongozi wa TANU Tabora, pamoja na Mwalimu Nyerere. Soma zaidi kuhusu historia ya mwandishi, Saadani Abdu Kandoro