You are now browsing in English. Switch to Swahili
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiingereza. Rudi kwa Kiswahili"
Kilimo Bora cha Muhogo
Faster downloadPublished Year: 2018
Language: sw
Summary: Kitabu hiki ni mkusanyiko wa vijitabu na rasilimali za elimu kwa wakulima wa muhogo na viazi. Sehemu ya kwanza ni mwongozo wa uzalishaji wa muhogo. Sehemu ya pili inahusiana mbegu bora za muhogo. Sehemu ya tatu utajifunza jinsi ya kutambua kukinga na kutiba wadudu na magonjwa ya muhogo na viazi.