You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"

Safari ya Mzimuni

Faster download

Published Year: 1998

Book Thumbnail

Summary: Safari ya Mzimuni ni hadithi ya kusisimua ya watoto wawili. Sara na Chidi ni watoto wanaokwenda kuomba radhi Mzimuni ili nchi yao isiteketezwe. Ili kujua kwa nini nchi yao inataka kuteketezwa na matatizo na mikasa waliokumbaba nayo, soma hadithi hii.