You are now browsing in Swahili. Switch to English
In Swahili: "Sasa unavinjari kwa Kiswahili. Rudi kwa Kiingereza"
Mwongozo wa Taifa wa Kukinga na Kudhibiti Maambukizo katika Utoaji wa Huduma za Afya
Kiongozi cha Mfukoni kwa Watoa Huduma za Afya
Faster downloadLanguage: sw
Summary: Maambukizo ni moja ya vyanzo vinavyoongoza katika kusababisha maradhi na vifo nchini Tanzania. Pia ni miongoni mwa vyanzo vitano vya vifo vya akina mama wakati wa uzazi. Kutibu maambukizo ni gharama kubwa na hata matibabu yakifanikiwa yanaweza kuacha madhara ya muda mrefu. Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ina wajibu wa kuhakikisha kwamba huduma za afya zinazotolewa ni bora na salama kwa watu wote. Kukinga maambukizo ni suala muhimu katika utoaji wa huduma bora za afya.